2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mechi za leo ni muda ule ule kama za Jana???
1000797830.jpg
 
Hata sisi inatakiwa tuungane na Wanaija tuwatimue wakina Maema
na wenyewe jana wameadhibiwa vikali sana, wachezaji walikuw kama watu waliokata tamaa kabisa
wanacheza kama watua ambao hawana furaha kabisa, imagine hata lile vibe lao lakuingia uwanjani jana lilikuwa kama vile wanalazimisha tu.
 
Goal la kwanza la Korea ni la kuombea Mkopo WB.😀😀😀😀Hawa wako na South kundi moja..
SA watakunywa uji wa Moto kote kote..warudi waje watufukuze kwao😀😀😀
 
Back
Top Bottom