Cookie kumbe na wewe mwanamexico 😀Wa South wanakula red cards kama wao wanavyofukuza Waafrica wenzao kwao
Angalia watu wanatafuta kadi zisizo za lazimaSouth Africa ndio labda katoa rushwa ili asifungwe magoli mengi.
Wenzao wamepata gali 2 ila wao wamepata Red card 2Wa South wanakula red cards kama wao wanavyofukuza Waafrica wenzao kwao
Jogoo anaumwa figo hyAsante sana Mexico
Ngoja sasa nikachinje lile Jogoo langu lifanye supu na sherehe.