Kwahiyo kwa maana yako ni kwamba timu au mchezaji mwingine akipendelewa wanafanya hivyo ili ku balance kubebwa kwa Messi na Argentina???
Wakiibeba Man U ni ili wa balance?
Wakiibeba Madrid ni ili wa balance?
Kama ni hivyo maana yake unakubali Ronaldo Ballon D'or ya 2013 hakustahili na alibebwa??
Sasa hizo story zako kuwa hajawahi kubebwa zimetoka wapi????
Usinishirikishe kwamba mi najua kitu ambacho sikijui...Messi uwezo wake unajulikana, mpira mi nawe tunauona wala sijawahi kufikiria kuwa Ronaldo ana uwezo mkubwa na habebwi na Messi ana uwezo mdogo ila anafanikiwa sababu anabebwa
Unaishi dunia ipi??
Ballon D'or zote alibebwa
Makombe yote amebebwa
Magoli yote kabebwa
Vitu vyote anavyofanya uwanjani ni sababu ya kupendelewa na FIFA
Wachezaji, makocha, waandishi wa habari wanaosema ni bora wameambiwa waseme hivyo na FIFA???
Rooney katumwa na FIFA
Zlatan pia
Henry??
N.k
Bro grow up
Usitumie nguvu nyingi kueneza hatred yako kwa Messi na Argentina kwa story za kuokoteza