MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 692
- 936
Man of the match sio mvp au simba na yanga plus uchambuzi hewa wa bongo umekuvurugaSo far, Danny Olmo ndio MVP. Anakichafua sana.
Man of the match sio mvp au simba na yanga plus uchambuzi hewa wa bongo umekuvurugaSo far, Danny Olmo ndio MVP. Anakichafua sana.
Anakuwa machchari ila hawi hodari ni mzigo kwa timuSijui kwanini ni mzito kidogo kwenye kutoa assist
Mwisho wa siku tutawajaji kwa magoli.Spain wanapiga vyenga vya kutosha
Hiyo ndiyo mila yao, hawabadilikiMwisho wa siku tutawajaji kwa magoli.
Haya mambo alikuwa akiyafanya Brazil na ilifika muda tukaanza kumuona Haaland ni mzululaji tu.
Mwisho wa siku
View attachment 3626637
Hiki ni kinyakyusa?Afile munu asigale munu
KizaramoHiki ni kinyakyusa?
Amekufa mtu amebakia mtuHiki ni kinyakyusa?
Lolote linawezekanaKiutani utani mara ngoma inaenda ET