Morocco or France?I'm back
NdotoMungu ibariki Afrika
Yaniiiii ka presha kwambaliii hapa hahaha.. Lets wait and seeMpira hauna mwenyewe, hata hilo linawezekana.
Jiandae kisaikolojia
Tupo pamoja..Wafrika wenzangu leo mtanisamehe.
Mimi leo nipo ni vijana wa Macron
💪💪Tupo pamoja..
Morocco leo itapigwa ichakae..
Si chini ya bao 3 leo..
Hawa wakienda HT hawajaokota hata 1 watakua timu yenye bahati sana WC hii.Morocco tuwe makini tusije tukapata goli la mapema 🙌