herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,305
- 3,990
Mim8 shabiki wa Messi ila swala la mabao ya penalti, messi anakosa sana penaltyMessi ana mabao 672 Barcelona, na mabao 122 Argentina yote alibebwa...?
Ronaldo ana mabao 186 ya penalty..
Messi ana mabao 116 ya penalty...
Sasa jitafakari nani alibebwa zaidi..
Messi anakosa magoli ya penati coz anajua kua atafunga magoli ya kawaida,Mim8 shabiki wa Messi ila swala la mabao ya penalti, messi anakosa sana penalty
πππebu acha bhana, tumtetee kwa meng8ne ila si hili swala la kukosa penaltyMessi anakosa magoli ya penati coz anajua kua atafunga magoli ya kawaida,
Hua wanasema magoli ya Messi ni ya penati,ndio maana kaamua kutokufunga kwa penati,
Hilo wala usiwaze sana,GOAT anajua anachokifanya.
πππebu acha bhana, tumtetee kwa meng8ne ila si hili swala la kukosa penalMessi anakosa magoli ya penati coz anajua kua atafunga magoli ya kawaida,
Hua wanasema magoli ya Messi ni ya penati,ndio maana kaamua kutokufunga kwa penati,
Hilo wala usiwaze sana,GOAT anajua anachokifanya.
Kwani hufahamu match fixing huanzia nje ya uwanja?We jamaa mambo ya utakatishaji pesa sisi hayatuhusu, furaha yetu ipo ndani ya dk 90,
Umekaa kisiasa sana thats why unatafuta hata mambo ya nje ya uwanja ili mradi tu upate furaha kwa kuikosoa Argentina, we endelea kuteseka huku sisi tukisheherekea.
Bro you're stupidity is unmatched and top-notch duuh.
Wacha zinimalize cha msingi ujumbe ufikeπππhisia zitakumaliza we mtu
Mashabiki wa ronaldo mna kazi, na mtahama timu sana, na ufaransa wenu out, labda wabebwe tuDalili ya mvua ni mawingu.
Tushaona upendeleo waliofanyiwa Argentina kwa maamuzi yaliyoinyonga Egypt.
Tumeona jinsi Rais wa FIFA akiweka wazi hisia zake kwa Argentina.
Tumeona namna Rais wa FIFA alikasirika baada ya Egypt kufunga bao la pili (japo baadaye kwenye game ya Colombia alionekana akishika bendera ya Egypt ili kuua soo ku clear tukio lake la kukasirika baada ya Egypt kufunga bao)
Tumeona jinsi Rais wa AFA ambaye saizi anakabiliwa na kashfa ya utakatishaji fedha wa zaidi ya dola milioni 57 akiwa yupo kwenye uchunguzi chini ya FBI.
Na mbaya zaidi tumeona jinsi Raisi huyo wa AFA bwana Claudio Chiqui Tapia akikumbatiana na Raisi wa FIFA Gianni Infantino kwa furaha ya kushangilia bao la tatu la Argentina.
Haya matukio yote yanakufikisha kwenye hitimisho moja, there's something fishy going on in this tournament
Tatizo husomi post zangu.Bro you're stupidity is unmatched and top-notch duuh.
Mbona game ya Argentina vs Egypt refa alikua mfaranaa na hamkusema kitu??
View attachment 3625726
Wewe ni shabiki wa brazil na ronaldo, hivyo sioni ajabu ukiwakandia mabingwa watetezi.Kwani hufahamu match fixing huanzia nje ya uwanja?
Hufahamu rushwa ni jambo ambalo lipo nje ya uwanja ambalo lina influence katika matokeo ya ndani ya uwanja?
Mimi nitasema kila kitu ambacho nakiona hakipo sawa. Sio kwa dhumuni la kuungwa mkono na wadau wa humu.
Nitafanya hivyo kwasababu ni passion yangu ku expose uovu hususan pale kwenye kitu ambacho kinapewa sifa ambazo hazistahili.
So, sitaishia hapo tu I'll go deeper.
Ku expose daylight robbery sio kazi nyepesi Mkuu.Mashabiki wa ronaldo mna kazi, na mtahama timu sana, na ufaransa wenu out, labda wabebwe tu
Tatizo husomi post zangu.
Unafikiri hiyo mimi sijaiona?
Unafikiri kwanini nimesema waamuzi wote?
Hii ndio inayo tutofautisha mimi na wewe.
Argentina na Egypt kuna waamuzi wa mataifa mengine hapo wawili, umewaona?
Hii ndio inayofanya niseme katika rekodi za World Cup hakujawahi kutokea mechi moja ikawa na waamuzi wote kutoka nchi moja.
Hoja ni kwamba mna resources nyingi za kuwa backup.Refa mfaransa, wasaidizi wake wawili ni wafaransa, na ufaransa tulimkuyanga na kutwaa kombe, sasa atawabeba vipi maadui zao na kuwaacha waafrika!!! Acha hizo hisia mkuu, mmetolewa na akina haaland kisha portugal wenu halafu hasira mnazihamishia kwa Messi!
View attachment 3625731
πππumfikie Andromeda Galaxy na wote wenye chuki na Lionel messiWacha zinimalize cha msingi ujumbe ufike
πππ Scars hakuiona hiiBro you're stupidity is unmatched and top-notch duuh.
Mbona game ya Argentina vs Egypt refa alikua mfaranaa na hamkusema kitu??
View attachment 3625726
πππshida unachokiona na kukitafsir ww ni tofauti na tunachokiona wengineHoja ni kwamba mna resources nyingi za kuwa backup.
Kuna mambo mengi nje ya uwanja yameandaliwa ili kumtengeneza bingwa wanayemtaka.
Mfano mechi ya fainali unayosema, Otamendi alipaswa kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea faulo Kolo Muani huku Otamendi akiwa beki wa mwisho.
Haikuamuliwa hivyo.
Kwanini? Kwasababu ilikuwa ni moment ambayo France wapo nyuma kwa goli 2 na tukio hilo lilisababisha penati ambayo ingeweza kuwapa ugumu Argentina kuhimili mchezo ikiwa watakuwa pungufu.
Kwa hiyo kuna sheria ambazo hazifanyi kazi kwa Argentina.
Mfano mechi ya juzi dhidi ya Egypt kulikuwa na mchezaji wa Argentina akipatiwa matibabu nje ya uwanja.
Sheria mpya za FIFA zinasema mchezaji huyo ataendelea kuwa nje ya uwanja huku mpira ukiendelea yani timu yake inakuwa down kwa mchezaji mmoja.
Lakini kwenye freekick ya Egypt Refa alisimamisha mchezo ili kumsubiria mchezaji wa Argentina amaliziwe matibabu kisha ndio aingie.
Tunachokiona sisi raia na anachokiona Gerson Msigwa kuhusu swala la utekaji ni sawa?πππshida unachokiona na kukitafsir ww ni tofauti na tunachokiona wengine