Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,558
- 20,414
South Africa timu yao haina mzungu, ni wabaguzi?
Wanakubalije kupigwa kavuuu????Wamejitakia...
Wameona kavu tamu labda... kama wao wanavyopiga wenzao...Wanakubalije kupigwa kavuuu????
Hebu wakaze wadraw
😊😊😊Wameona kavu tamu labda... kama wao wanavyopiga wenzao...
Safi sana, offside...
Chupu chupu cha pili...
Dah mpaka nmeishiwa pawa !Chupu chupu cha pili...
Kipa kadaka shuti safi sana...Dah mpaka nmeishiwa pawa !
Williams yuko vizuriKipa kadaka shuti safi sana...
Tuko kwenye tv mkuu.