Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,024
Namkubali sana huyo Kipa anajuaaNani kaiona save ya willianz
Namkubali sana huyo Kipa anajuaaNani kaiona save ya willianz
La kwanza... Njoo niichapeA.k.a Chupi chupii😊😊😊
Mapema sana
Bao La mapema sana dahhh!La kwanza... Njoo niichape
Cha asubuhi...Bao La mapema sana dahhh!
😊😊😊😊😊Cha asubuhi...
South ni wabovu hamna timu hapo.Daah wasauzi wananiangusha shabiki lao hapa
Bingwa SpainNinao wapa nafasi kuchukua kombe ili
1:France
2Portugal
3:Spain
4:England
5:Mexico
Kombe la dunia kuanzia mwaka 2002 bingwa mtetezi amekua akitoka hatua ya makundi. Ni France tu ndio kabeba 2018 Urusi, napia kacheza fainali 2022 Qatar. Hivyo nampa nafasi kubwa kuchukua kombe hili.