Yaniiiiiii dahhhh!! Wanawabeba Argentina waziiiwaziiiiiHamuezi amini naingia ndani na chuma nakiona
Kosa ni kuvua jezi nadhani kadi inabakiHuyu mchezaji wa misri aliyefunga goli alivua jezi,je alipewa kadi? Baada ya VAR goli limekataliwa,kama alipewa kadi,je kadi inafutwa baada ya goli kukataliwa?
Wameanza nongwa washenziFaulo gani pale si kakosa stamina kaanguka. Kwamba kaangushwa?
Dogo fundi sanaHaisem Hassan fundi wa mpira
Angalia vizuri,kasukumwa kwenye bega,push hiyo.Faulo gani pale si kakosa stamina kaanguka. Kwamba kaangushwa?