Hiyo ndiyo maana ya umaarufu.Mi sio mchambuzi mimi ni shabiki na nilijipambanua tangu mwanzo.
Hao wajuu hao ndio wachambuzi ila wote wanamchambua mtu mmoja tu.
Hii ndio nikiyoisema mwanzo.
Akishinda Messi, mjadala unakuwa ni Ronaldo. Akifunga Lamine Yamal, mjadala unakuwq ni Ronaldo.
Akisipofunga Ronaldo, mjadala unakuwa ni Ronaldo. Akifunga Ronaldo mjadala unakuwa Ronaldo.
Na timu anayochezea Ronaldo ikifungwa, ikifunga mjadala ni Ronaldo.
Kama kauli yangu ni uongo jaribu kufuatilia wachambuzi wetu wa kina Suma Mnazaleti wa JF.
Ronaldo chrstiano pia alikuwa na ban ya kutokucheza mechi za makundi lkn FIFA walimuondolea adhabuNaomba kujua, je mkasa kama wa Bolegun umewahi tokea kwenye WC?
Yaani mchezaji kufutiwa kadi nyekundu kwa ushawishi wa raisi wa nchi. NV aona UEFA wamelalama
Netanyahu naona umepata kimuhemuhe hapoSasa Israel imetokea wapi hapa?
Jamaa umenifanyia nimecheka Sana😂😂😂😂Ronaldo usikubali kustaafu kabla hajachukua WC miaka minne ijayo utakuwa na umri wa miaka 45, bado umri unaruhusu kabisa😂😂
Pambana mpaka uvae medali kama Messi
Sio shida zake, acha msagiweBaba yenu naye huko kafurahiView attachment 3624001
Kabisa.Kati ya timu ambayo inatakiwa itolewe mashindano yafanyike kwa amani ni hao Marekani
Sio Wanga tu, hadi protiniSaa sita hii wanga mshaitana
Mkuu unahisi Morocco ataifunga France?Huyu dogo haimbwi sana ila anajua sana. Hans flick aliwahi kusema huyu ndio Lamine Yamal wa upande wa Defense. Anajua sana
View attachment 3624007
Usiseme kila kitu wakati unajua hana kombe la dunia wala tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya kombe la duniaAlisha declare kwenye interview yake.
Hata mimi humu niliweka wazi kuwa ikitokea kachukua World Cup itakuwa ni bonus tu.
Kafanya kila kitu.
Kwenye upande wa kupigania anachokiamini bro yupo vizuriThe end of the great era, thank you Cristiano Ronaldo View attachment 3623975
Ronaldo alipendwa Sana Ila ukichunguza Hadi mashabiki wa Manchester na Madrid wamemgeuka kwasabab ya EgoWachambuzi wa JF bwana, yani uchambuzi wao wote wameuelekeza kwa mchezaji mmoja.
Ni kama ilikuwa ni Spain vs Ronaldo.
"Where we dare to to speak openly"
Haya bana uwanja wenu huu tutasikia mengi leo.
Huwezi kupinga namna hiyo..Labda kama wataruhusu kucheza na mikongojo
Umeanza kuchanganyikiwa sasa 🤣 kuchukua WC ni bonus??? Hilo kombe sio NBC ujue, sio UEFA.Alisha declare kwenye interview yake.
Hata mimi humu niliweka wazi kuwa ikitokea kachukua World Cup itakuwa ni bonus tu.
Kafanya kila kitu.
Mashabiki wa Manchester ndio sisi, mtu yeyote aliyemgeuka GOAT huyo ni mamluki.Ronaldo alipendwa Sana Ila ukichunguza Hadi mashabiki wa Manchester na Madrid wamemgeuka kwasabab ya Ego