Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Hebu lala huko...Uchungu!!!! Tema🤣🤣🤣
Labda kwasababu yeye pia ni mhispania Kwahiyo anaumia upande mmoja mwengine anafurahMwalimu kala rushwa hy
Bibie Unaibuka Kama Ayatola.Team Messi tuna maoni gani?😅
Naomba ile video akiaga mashabiki wakeThe real GOAT View attachment 3623972
Nilikuwa nasubiria Mpira uishe Mkuu...Bibie Unaibuka Kama Ayatola.
Ulikuwa wp mechi ikiendelea ?
Clip video hii ya mwisho kabisaWachambuzi wa JF bwana, yani uchambuzi wao wote wameuelekeza kwa mchezaji mmoja.
Ni kama ilikuwa ni Spain vs Ronaldo.
"Where we dare to to speak openly"
Haya bana uwanja wenu huu tutasikia mengi leo.
Mashabiki wa Ronaldo haya usafiri wenu huu hapa tokeni na Goti wenu mtuachie uzi wetuWewe ni muoga ulikimbia.
Ungekuwepo hapa pengine ungeungana na wenzako kumtoa akili Lamine Yamal.
Sie mashabiki wa GOT joto ni kali sana🤣🤣Hebu lala huko...
Hili baridi hulioni🤣🤣🤣
GOT ni mmoja tu..Sie mashabiki wa GOT joto ni kali sana🤣🤣
mbinu za kina Msigwa hzNilikuwa nasubiria Mpira uishe Mkuu...
Siongei nikiwa na chakula mdomoni😀
Ndugu mchambuzi mbona kinyonge sana🤣🤣🤣Wachambuzi wa JF bwana, yani uchambuzi wao wote wameuelekeza kwa mchezaji mmoja.
Ni kama ilikuwa ni Spain vs Ronaldo.
"Where we dare to to speak openly"
Haya bana uwanja wenu huu tutasikia mengi leo.
Hakika🤣🤣🤣GOT ni mmoja tu..
Hepukeni Matapeli😅