Dunia ilisha badilika,
Usikariri majina,
Zama zao zilisha pita.
Zama zao za kutamba World Cup zimeshapita..
Inabidi tukubali zama za kuangalia majina ya timu zimepita...
Nani kasema kujitafakari ni kosa?Kujitafakari ni kosa? Au wao hawaruhisi kufanya vizuri tena? Kimsingi timu yeyote inabidi ijitafakari otherwise hakuna sababu ya kuwa mshindani kama huna nia ya kushinda kombe.
Nani kasema kujitafakari ni kosa?
Team zilizotolewa ni nyingi tu mpaka sasa,
Unajua ni kwanini wewe umezitaka German na Brazil tu zijitafakari? na hukutaja nchi zingine pia?
Coz umeona kua hao ni giant na wameanguka,so ukiona giant wanaanguka ujue kuna wengine wameibuka,
Zama zao zimeshapita,huo ndio ukweli mchungu.
Kombe ni moja tu mkuu,Kama kujitafakari sio kosa basi warudi drawing board kujitafakari. Kama wengine wameibuka na wao wanaweza kuibuka tena. Kama hawana hilo tumaini they might as well call it quits hawana sababu ya kushiriki.
Kombe ni moja tu mkuu,
Kwani wewe ulitaka wasitolewe?
Kwahiyo team zingine kutolewa ni sawa ila Brazil na German kutolewa sio sawa na ndio maana umeshangaa na kuwataka wajitafakari?
Mpira unabadilika mkuu,
Zama zao za kudominate WC zilisha pita.
Ni suala la muda tuKikundi hicho kinatembelea nyota tu
Mimi na ukoo wakoMmekubaliana wewe na nani?
Acheni propaganda
Kuna watu weusi wana roho mbaya , chuki na wabaguzi mno haswaa kwa waarabu. Timu za kaskazini hawazishabikii kisa waarabu, sijui waarabu waliwakosea nini watu hawa! Na morocco kadri anavyozidi kuperfom maadui ndio wanazidi kuumia, waumie na wateseke wataju wenyeweMi mshabiki wa France.
ExactlyHapa ndio unapo feli.
Ronaldo akianza ni advantage kwa Portugal kuliko akianzia benchi.
Defenders watakuwa bize zaidi kwa Ronaldo na hii ndio itakuwa opportunity kwa wachezaji wengine kufunga.
Morocco atafungwa na France..Kuna watu weusi wana roho mbaya , chuki na wabaguzi mno haswaa kwa waarabu. Timu za kaskazini hawazishabikii kisa waarabu, sijui waarabu waliwakosea nini watu hawa! Na morocco kadri anavyozidi kuperfom maadui ndio wanazidi kuumia, waumie na wateseke wataju wenyewe
Unaikumbuka France kwenye World Cup iliyofanyika South Africa? Ulikiona kiwango chao? Uliona walivyotolewa?Hakuna sehemu nimesema nilitaka wasitolewe.
Toka hili kombe limeanza hakuna mtu in their right mind aliwapa Brazil nafasi ya kubeba ndoo wala kufika semis. Wala Germany.
On the flip side, wamewahi kuwa a powerhouse na wana infrastructures zote za kufanya vizuri, kwanini wanashindwa? France is a threat miaka yote kwanini wao wameweza ku maintain kiwango chao? Spain too. Mpira umebadilika kwa Germany na Brazil tu ila sio kwa France na Spain?
Kama nchi zingine zinafanya vizuri wao kinawashinda nini kufanya vizuri? Kutolewa kwenye michuano is one thing, ila jinsi walivyotolewa na viwango vyao haviridhishi hata kidogo.
Hili kombe ni la France labda wapoteze wenyewe.
Chuki binafsi za messi, enjoy mpira anaopiga mzee it will take 100years kumpata messi mwingine. Wewe kunja nditta tu Bila sababu za msingiHii marathon ya kiatu cha dhahabu imekuwa kali sana.
Olise pushing Mbappe
Odegaard pushing Haaland
Infantino pushing Messi View attachment 3623795
Chuki binafsi za messi, enjoy mpira anaopiga mzee it will take 100years kumpata messi mwingine. Wewe kunja nditta tu Bila sababu za msingi
Defender wanajua tayari weaknes zake.Hapa ndio unapo feli.
Ronaldo akianza ni advantage kwa Portugal kuliko akianzia benchi.
Defenders watakuwa bize zaidi kwa Ronaldo na hii ndio itakuwa opportunity kwa wachezaji wengine kufunga.
Kuna kitu ambacho nimeki observe kwa watu wanaosema kuwa Ronaldo sijui amechoka, au sio tishio kwa defenders kwasababu wanamjua udhaifu wake.Defender wanajua tayari weaknes zake.
Mind you akianzia nje mtashinda.
Akianza hii game mtakuwa na wakati mgumu sana.
Spain wana mpira wa kasi sana.