2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwangu hapa yeyote tu apite.
No worries
 
Anceloti hana mbinu kwa mpira wa sasa amini nakuambia.
Kocha mzuriii zamani ndio lakini kwa sasa hivi hapana huyu afanye kustafu tu.
Ferguson mwenyewe aliusoma mchezo akaona kuilinda heshima ngoja nisepe maana pep alimtetemesha Ile final.
Ile barca inamstaafisha kocha yoyote hatari xavi iniesta villa balaaaa
 
Mechi ya kisasi kwa Spain katika kipindi ambacho Portugal hawana performance ya kuridhisha.

Kwanza Game ya leo itakuwa ni battle ya Lamine Yamal dhidi ya Nuno Mendez.

Sijui leo Portugal watakuja na performance ya aina gani maana wamekuwa na performance mbovu karibia mechi zote ukitoa ile Uzbekistan ambayo ni kibonde.

Kingine kinachowagharimu Portugal ni kukosa unity, mechi ya leo itahitaji zaidi mtu aliyekuwa kwenye nafasi ya kufunga afunge na sio kulazimisha ili wewe ndio uibuke shujaa.

Portugal ikicheza kitimu leo nina uhakika mechi wanashinda.
 
Na Ronaldo asianze.
Aanzie nje ili kupunguza pressure ya mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…