2026 FIFA World Cup - Special Thread

πŸ‡΅πŸ‡Ή Portugal vs Spain: Wewe Unampa Nani Nafasi ya Kufuzu?


Leo tuna mchezo mkubwa sana wa Kombe la Dunia kati ya Portugal πŸ‡΅πŸ‡Ή na Spain πŸ‡ͺπŸ‡Έ.


Watu wengi wanaamini Spain ndiye favorit kutokana na kiwango walichoonyesha, lakini Portugal pia wana kikosi chenye uwezo wa kushinda mechi kubwa.


Mimi prediction yangu ni: πŸ‡΅πŸ‡Ή Portugal To Qualify.


Sababu zangu ni:


βœ… Uzoefu mkubwa kwenye mechi za mtoano.


βœ… Wachezaji wenye uwezo wa kuamua mechi kwa muda mfupi.


βœ… Portugal wameonyesha uimara wanapokuwa chini ya presha.


Lakini mpira hauna mwenyewe…


Wewe unafikiri nani atafuzu?


πŸ‡΅πŸ‡Ή Portugal


au


πŸ‡ͺπŸ‡Έ Spain


Na kwa nini?


πŸ‘‡ Tujadili.
Kwa anayependa kusoma uchambuzi wa kina, nimeandika analysis kamili pamoja na prediction kwenye blog yangu:


πŸ‘‰ KANGAROO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…