Santo sana..Mbili kubwa.
Saa mbili tu hapa
Na Saa sita
Morocco vs Canada
France vs Paraguay
Kwa kweeli. 😅Canada we wish you a bad lucky
Kwa hii game ilivyoanza naona mazingira magumu yapo kwa Morroco kuliko CanadaMorocco inakuwa timu ya kwanza robo fainali
Sahihi kabisa kaka, kwa mtizamo wako unaona nani anavuka hapa.Kwa hii game ilivyoanza naona mazingira magumu yapo kwa Morroco kuliko Canada
Majeruhi au maana ndio nataka niwashe TBC now ?Saibari anaenda benchi, hii ni kila dalili ya canada kusonga mbele.
Itategemeana na momentum ya mechi itavyokuwa.Sahihi kabisa kaka, kwa mtizamo wako unaona nani anavuka hapa.