2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Itategemeana na momentum ya mechi itavyokuwa.

Kama Morroco itaendelea kuruhusu mpira kuchezwa kwenye eneo lake yani wao kazi yao ni kuzuia kama sasa basi kuna uwezekano wa Morroco kufungwa.

Kwasababu hatari nyingine ya idadi kubwa ya wachezaji kuzuia katika eneo lao mara nyingi ni rahisi kucheza faulo, na faulo kwenye eneo la box ni penalty.

Wachezaji wa Canada wanaweza kutumia hiyo advantage ya kujilegeza kwa hiyo mguso wowote dhidi ya mchezaji wa Canada unaweza kuwa ni risk kwa Morroco
Pia inaweza kupigwa Bomba na wakajifunga vile vile
 
Back
Top Bottom