2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Bongo miaka 1000 hatuwez kufika level hizi walizofika cape Verde
Tulikuwa tunawafunga nyakat zimebadilika
1000028689.png
 
Wachezaji wa Cape Verde wana tatizo la kutaka kuonekana na klabu za kimataifa. Badala wacheze practically kwa pasi za uhakika wanalazimisha manjonjo ya kukokota mpira, kuchukua mabeki na kupiga vi-show off mwishowe wanapoteza.

Argentina siku zote uchezaji wao si wa kupaka rangi. Wewe cheza kama hata fundi jenereta, ila piga mpira ufike unakotakiwa na kwa muda sahihi. Mambo ya kupaka rangi muachie Messi.
 
Nakubaliana na wewe
 
Wengine wanabadilika, hata Comoro sio wale, taifa stars inazid kudumaa
Jana nililalamika Stars kubaki na kina Himid Mao na Mohammed Hussein member mmoja akaja juu.

Serengeti Boys kila mashindano inafanya vizuri, wale vijana huwa wanaenda wapi? Staafisha hawa wasio na matokeo ambao hawana ambitions tena, leta damu inayohitaji kuonyesha kitu. Ukishampiga chini kabisa mtu hata misumali kwa madogo inapungua.
 
ukiangalia tim ya vijana ya Azam ina watu lakn wanapotea kusiko julikana
 
Back
Top Bottom