Senegal,Ghana, ivory coast, cape Verde mbona nazikubal sana, na nyingine za watu weusi kabisa kasoro taifa starsWewe kila timu ya Afrika huitaki.
Upo sahihi sana. Wakitoboa wana bahatiMdaka mishale wao huyu. Ila hawatoboi, hii tayari ni kosa
Au sio, na saa saba Cape Verde aanashinda
[/QUOT
Egypt kwa hali ilivyo ni 50/50, Cape verde kumkazia Argentina kama alivyofanya Spain itategemea leo wachezaji wameamkaje
Misri wanapita wakitulia hii japo siwakubaliMatuta hayana mwenyewe...
Hapa yeyote anapitaNgoja tuone inakuwaje
Ngoja tuoneAfrica kabisa...