Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Hii mechi nayo imepoa
Nilisema mimiDK 81
1-1
Wanatia mashaka hawana Energy ya kutosha wanachoka mapema sanaHii game Egypt anashida hilo lipo wazi
Extra time watabadilikaWanatia mashaka hawana Energy ya kutosha wanachoka mapema sana
Acha mashaka ustaz mnashindaWanatia mashaka hawana Energy ya kutosha wanachoka mapema sana
Ndoto zako ziwe za kweliHii game Egypt anashida hilo lipo wazi
Huku nawahakikishia ushindi wa EgyptExtra time
Ndio yale nilikuwa naandika juzi. Wachezaji wanapitia hapa hapa Tanzania, sisi tumebaki na hawa wa mtani wa jadi.Huyo ni Mrundi aliyezaliwa Kigoma.
Wazazi wake walienda Australia kama wakimbizi.