moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,863
- 777,111
Acha ipoe kikubwa Misri waibuke na ushindiHii mechi nayo imepoa
Acha ipoe kikubwa Misri waibuke na ushindiHii mechi nayo imepoa
Alitaka ajifanye Harry Kane goli lake la pili. Hajui yeye hawezi kuwa Harry labda Ali.Nafasi ya wazi
View attachment 3621698
Mdogo sana kwani hatafutwi akishakua. Mbona Olise alikuwa mdogo na utaifa wa FIFA alitafuta kati ya nchi tatu.Alikuwa mdogo sana mkuu.
Hiyo yake ni tofauti kidogo.Mdogo sana kwani hatafutwi akishakua. Mbona Olise alikuwa mdogo na utaifa wa FIFA alitafuta kati ya nchi tatu.
Akina Boeateng si ni ndugu ila walicheza mataifa tofauti.
Jiandae kwa kilioAshinde yoyote, ila Australia akishinda ndio nitaenjoy zaidi
Anti-arabAnti-Africanist nshakusoma
Wewe kila timu ya Afrika huitaki.Anti-arab
Mbona kwa Senegal niliumia sana aiseeWewe kila timu ya Afrika huitaki.