Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,695
- 130,564
Mpaka zifike dakika 86 ndio nitakuwa na hakika kwa asilimia 90Kabisa! Hakuna namna kwa kweli
Mpaka zifike dakika 86 ndio nitakuwa na hakika kwa asilimia 90Kabisa! Hakuna namna kwa kweli
Waarabu wana usenge sana, washaanza kujiangusha, ili wawape hasira wengine washindwe mchezoNani mkorofi hapa?
View attachment 3621677
Wana rafu mbaya sanaWaarabu wana usenge sana, washaanza kujiangusha, ili wawape hasira wengine washindwe mchezo
Wanazingua Sana.Waarabu wana usenge sana, washaanza kujiangusha, ili wawape hasira wengine washindwe mchezo
Huyo jamaa angenyanyua tu kichwa kabla yakupiga mpira kutizama goli lilipo wangetoboaNafasi ya wazi
View attachment 3621698
ChaiHuyo ni Mrundi aliyezaliwa Kigoma.
Wazazi wake walienda Australia kama wakimbizi.
Hapo kwa Ghana naona hapanaDah! Hii game na hata ya Ghana! Watamaintain discipline tu...