Nimewasha data na bando langu la ngama nipo live nowTayari moja hukooo....woyooooo
Usilinganishe Egypt na wamatumbi naamini Hawa watatupa kitu cha utofautiTatizo kushikilia bomba kwa Waafrika ila ngoja tuone
Amen and amenWanavuka hii
Unashangaa goli linarudishwa na wanaongezwaNgja tuone hii mana wanaanzaga hivi.
Pierluigi Collina, Marco Materazzi, and David Silva.
Mpaka zifike dakika 86 ndio nitakuwa na hakika kwa asilimia 90Kabisa! Hakuna namna kwa kweli