Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,266
- 5,394
Chuma.
Wajomba wasifanye Ujinga wa kurudi nyuma sasa kama ndugu zao
Wajomba wasifanye Ujinga wa kurudi nyuma sasa kama ndugu zao
Hawa wana akili timamu sio kama wale weusiChuma.
Wajomba wasifanye Ujinga wa kurudi nyuma sasa kama ndugu zao
Timu karibu zote za Afrika zilizotangulia kupata goli mapema ziliishia kutolewa 🙄Chuma.
Wajomba wasifanye Ujinga wa kurudi nyuma sasa kama ndugu zao
Uko vizuriiii kwenye kuoteaaaMisri keshafanya jambo
Na iwe hivyo Mkuu.Australia hawatishi
Ngoja tuoneKabla ya half time Australia atakuwa keshakaliwa vizuri
Tusikate tamaa. Egypt watufute machozi hata kuvuka hii hatua tu jamaniHuwa natamani sana tushinde.
Ila ndio hivyo...
Fungu lakukosa.
Itakuwa Mnyakyusa wa Kyela huyu.Huyo Ilankunda katokea wapi tena huko Australia kha!!??