2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kuhusu 2022 World Cup, hii tunaweza kuzungumza mengi sana ambayo kama wewe ni shabiki wa Messi na Argentina usingependa kukumbushwa namna mlivyobebwa.
 
Ulivyomaliza kwa "daah" ni kama hili ni tukio geni kwako hujawahi kuliona popote pale.View attachment 3621099
So kwa sababu Spain alistrugle basi Ureno nayo inastruggle? Hivi unaijua Crotia vizuri, tunayo ijua sisi? au mpira umeanza kutizama juzi? Unaviungo watatu bora Ulaya (Neves,Pedri, Bruno) bado unastrugle, wewe unazani Crotia angekuwa Ivan Ractic,Kramaric na striker Mario jana Ureno alikuwa hawachomoki.
 
Croatia na Cape Verde nani mkubwa?
 
πŸ—£οΈ Zlatan IbrahimoviΔ‡ on Fox Sports:

They overturned Cristiano's 3 match suspension. They didn't send off 2 Portugal players against DR Congo for Red card offense.

Few days ago They disallowed a legitimate Colombia winning goal and now they disallowed a Croatia's goal that could have won them the match.

Why is FIFA giving Cristiano Ronaldo and Portugal so much favoritism?
 
Hujui maana ya ukubwa sio kosa lako, hata mimi sina mda wa kukujibu na ndio maana nilitaka unijibu kupitia maswali.
Ushasema hujui basi chill, we can't go further.

Siwezi kukulaumu tena kui undermine Ureno kwa mechi ya usiku, wakati mechi ya Spain na Cape Verde hukuangalia na hujui vigezo vinavyotumika kupima ubora.
 
Wewe si umeanza kusema hauna mda kunijibu? Sasa mda wa kuandika paragraph mbili umeutoa wapi.

Kwani wewe ni ukubwa unalipima kwa vigezo vipi? Maana maada umeianzisha wewe.
 
Wewe si umeanza kusema hauna mda kunijibu? Sasa mda wa kuandika paragraph mbili umeutoa wapi.

Kwani wewe ni ukubwa unalipima kwa vigezo vipi? Maana maada umeianzisha wewe.
So, hata nilivyoandika vile kumbe hukuelewa muktadha wa nilichoakiandika?

Nilikujibu sina muda wa kuupoteza kukuelezea hoja ya factors za kutambua timu kubwa kwa kile ulichokiri kuwa huna uelewa nacho.

Lile jibu halikumaanisha kwamba sita-reply tena post yako au kukukosoa sehemu nyingine ambayo naiona haiko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…