2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Meet a wonderful kid with great bench warming skills
Screenshot_20260702-235619.png
 
Spain have won a World Cup knockout round game for the first time since they won the tournament in 2010.

❌ vs. Russia (2018)
❌ vs. Morocco (2022)
✅ vs. Austria (2026)
 
Mashabiki wa Messi GOAT wao ni Messi tu maana hanaga kufeli BUT Mashabiki wa Ronaldo huwa GOAT wao anakua Mbappe Ronaldo akifeli... Hii kitu niliiona World Cup 2022 na sasa hivi viashiria viko dhahiri kabisa... Watu km malaya malaya wanabadilisha utamu, mara kwa huyu mara kwa yule
 
Dogo huyu Mimi hapo tuu ndio namkataaga, kipaji kipo ila sasa analazimisha sana, aache kuwawaza wakina Messi walifanya nini acheze mpira.
Anatengeneza attention kubwa kutokana na maneno yake anayotoa kabla ya mechi.

Hii inafanya full backs wamuwekee ngumu sana kwasababu ya kulinda heshima zao kwasababu ikitokea amefunga atarudi kuongea zaidi kuthibitisha kwamba habahatishi na ana jiamini.

Ndio maana hata Atletico wakimfunga Barcelona huwa wanarusha sana madongo kwasababu ya kujibu mapigo ya kauli zake.

Ni mchezaji mzuri na sina shaka na kipaji chake ila ni kama umaarufu umekuja mapema kabla hajaanza kujifunza ni time gani ya kuongea na ni time gani anyuti.

536276522_122192381594331469_9035785535590857803_n.jpg
 
🚨🎙️ Pierluigi Collina ( Chairman FIFA referees committee) on comparisons between Messi’s challenge and Balogun’s:

“Messi’s challenge was never one that should be considered a red card. It was unintentional, and he didn’t leave his foot on the opponent’s ankle after the contact.

Balogun’s incident is completely different. The way the player’s ankle twisted was very dangerous. If I had been the referee, I would have shown a red card.

Unfortunately, many fans don’t understand these distinctions and will continue bringing up Messi’s incident purely for clicks and engagement because it’s Messi.”
 
Anatengeneza attention kubwa kutokana na maneno yake anayotoa kabla ya mechi.

Hii inafanya full backs wamuwekee ngumu sana kwasababu ya kulinda heshima zao kwasababu ikitokea amefunga atarudi kuongea zaidi kuthibitisha kwamba habahatishi na ana jiamini.

Ndio maana hata Atletico wakimfunga Barcelona huwa wanarusha sana madongo kwasababu ya kujibu mapigo ya kauli zake.

Ni mchezaji mzuri na sina shaka na kipaji chake ila ni kama umaarufu umekuja mapema kabla hajaanza kujifunza ni time gani ya kuongea na ni time gani anyuti.

View attachment 3620927
Huyu dogo kufika level za Messi sidhani, Kun watu kama wakina olisse wanapiga kazi balaa na hawaongei
 
Sipendi mechi za makundi za World Cup, subiri hatua ya mtoano mtaniona.

Hatua ya mtoano
FB_IMG_1783027765477.jpg
 
Back
Top Bottom