Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,156
- 132,204
Miaka 41 na bado ana goli nyingi kuliko mwenye miaka 18Kaisha huyo
Miaka 41 na bado ana goli nyingi kuliko mwenye miaka 18Kaisha huyo
Tupe tafsiri ya kucheza vizuriShida ya mashabiki wa CR7 wanaamini ili mchezaji aonekane anacheza vzur lazima afunge
Hawa Croatia wanajambo lao leo naona
Nakuona umepigilia jezi yako ya Yanga unacheki mechi mbili kwa wakati mmoja.