2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wakati mwingine sub zinaaribu game. Sub ya guaye akaingia Camara yale ni makosa ya kocha.
2022 fainal pale Qatar, sub ya di maria ndio iliwapa nguvu france. Na ilikuwa ni makosa ya scolani kocha wa argentina. Lawama mpaka sasa nambebesha kocha
Huyu dogo camara mie nilimkataa toka mechi ya france kwa kweli ile sub hapana kocha kabugi mennnn
 
Akili ya kufika kwenye penalties hawana,yani akili zao ndio zimeisha tayari,sasa hivi wanatumia akili za akiba tu.
Hapana, hii game Senegal atashinda ila alipaswa kushinda mapema, tena atafunga Mane au huyu aliyeingia..Nicolaus Jackson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…