2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wanatoboa Hawa beligium wamechoka
Hata England tulisema hivyo hivyo.

Ila inavyoonekana ukweli upo kinyume chake.

Inawezekana wazungu wanaamini kwamba timu za Afrika wacha zitawale mchezo kipindi cha kwanza kwa intensity ya juu.

Halafu kipindi cha pili automatically energy itapungua, ile temper walioanza nayo haitokuwepo na ndio hapo wanapoanza kupeleka pipe na kumaliza mchezo.

Huwenda hii ndio mbinu yao maana timu zote za Afrika mwanzoni zilionekana ku control mchezo na kila kitu kwenda vizuri hadi kupata bao la uongozi.

Lakini baada ya dakika 90, kauli ya "haikuwa bahati yetu" unaisikia ikitolewa upande wa timu ya waaafrika.
 
Hiki kipo sana mkuu,na dalili zimeanza kuonekana hapa daàh.Wajitahidi basi hata hawa wamiliki mpira hata kidogo sio kubutua watu wanawahesabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…