comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,120
- 16,120
Natural number 9 braut halaand
Na madharau juuGOli lain sana aisee
Hivi Harlaand anafanya nn uwanjani?
Kumenoga..Balaaa
1-2
Ile basi ni ngumu mno😀😀Na madharau juu
Ila magoli wanafungaAnayeelewa Norway wabacheza nn aniambie. Hawa Ivory wazembe tu
Ako na goal 5 mpaka sasa
Sana, la hovyooGOli lain sana aisee
Ukitoa goli alilofunga hajawa na mchezo mzuri leo kabisaAko na goal 5 mpaka sasa
Aisee hili goli lao la pili wamenifurahisha sana norway...yaani goli unaliona hilooooo linakuja kama vile unadinyaIvory coast mpira wameutawala wao ila kupigwa watapigwa wao,Norway hana haraka kabisa anajua anacho kifanya.