Wachezaji wa Morocco wengi wamezaliwa Uholanzi kwahiyo ni ndugu wanacheza hapoKamba
Wameongezewa ngapi mkuuMorocco sasa ni kama inawashambuliaji tupu uwanjani. Ngoja tuone hizi za nyongeza.
Aisee Pole sana....
Ha haaa haaa, ati Gen ZAisee, mi nikajuani gen z.. kumbe...
Watafungwa, Uholanzi imegundua ililkuwa na udhaifu kwny kiungo na imeshajaza viungo na mabekiMorocco sasa ni kama inawashambuliaji tupu uwanjani. Ngoja tuone hizi za nyongeza.