Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,683
- 8,974
Hawaachwi hawa Japan tena goli tatu
Huyo ni timu Japan.ZVI ZAMIR mbona unapotosha kauli ya mwenzio🤣🤣🤣
Sio kizembe jamaa walitafutwa sanaGooal la kizembe sana
Na wakamaria walioipa BrazilHakuna watu wanaoona muda una kimbia kwa speed sana kwa sasa kama Wabrazil.