2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Jon Snow singlehanded them🫔
1000056124.jpg
 
Brazil sioni akitoboa hapa, akubali tuu hana team ajiandae kwa 2030 tena, afu huyo anceloti wamuondoe haraka ana mbinu za kizee
Don Carlo amezeeka hata angefika nusu fainali au fainali yenyewe. Unahisi ni club gani ingeweza kumpa kandarasi tena. Ndio anastaafu hapa hili kombe lina wastaafu wengi.
 
Lakini FIFA watakubali kweli? Usije ukashangaa kuona miujiza toka kwa refa.
Brazil hana ushabiki kivile kwa sasa.
Pia Japan ina mauzo ya viewers na soko la Asia kwa kiasi linaitazama, wakati South America hawana shida na mpira wa Brazil.

In fact South America timu nyingi tu zinaona zinammudu Brazil, hazimuhusudu tena.
 
Back
Top Bottom