mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,241
- 56,909
Imeisha hyo.kinachoniuma nilijuwa mapema ila nimedharauJAMAA WATAMALIZA CHA KWANZA NA MOJA
Imeisha hyo.kinachoniuma nilijuwa mapema ila nimedharauJAMAA WATAMALIZA CHA KWANZA NA MOJA
Uholanzi inawezekana ila sio GermanySoma hyo post vizuri.bingwa ni uhoranzi
Wamebaki na jina tu.Brazil ya sasa ime-drop kisoka. Soka lao halina tofauti Sana na timu nyingi za kiafrika
Casemiro sioni maajabu yake leo apo katiHii mechi sijui kama Brazil atatoboa
Bonge la transition.....balaaaaJapaaaaaqaannnn goalllll
Wanaamini watamchosha mjapani kwa kumiliki sana dimbaBrazil wanafikiri goli litakuja lenyewe bila kulipambania pale kwenye 18? Kujitia ufaza ufaza tu!!.
sio poa, samurai wanapeleka moto atare !Hii mechi sijui kama Brazil atatoboa
Hahaha Brasil inapendwa sana na waafrica
Tuombe uzima mkuu. Tunza hii post.Germany anaenda wapi mkuu?
Washaajaa kwenye mfumo na wamepaniki. Japan hawataki kukimbizana nao na hapo ndo wanapowatoa kwenye mfumoBrazil wanafikiri goli litakuja lenyewe bila kulipambania pale kwenye 18? Kujitia ufaza ufaza tu!!.
MarkedTuombe uzima mkuu. Tunza hii post.
Hapo kwenye Argentina muweke Cape Verde ila sikulazimishi.BRAZIL
USA
FRANCE
UINGEREZA
WATOLEWE KABISA
Argentina 💪