DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,304
- 2,718
Hahaaahahaaaa poleni sana msioipenda Japan
View attachment 3618615
Wanatumia toyota then washabikia brazil kweli!!
Kila la kheri japan
Hahaaahahaaaa poleni sana msioipenda Japan
View attachment 3618615
Wananifurahisha wallahKikosi cha Japan
Ratiba yao itakuwa hivi;
🇳🇱 Netherlands | June 14
🇹🇳 Tunisia | June 20
🇸🇪 Sweden | June 25
View attachment 3589860
Ni Mndali wa Ireje🤣Suzuki utadhani mlundi
GermanyGermany vs paraguay 23:30 nani atabondwa?
Hahaha Brasil inapendwa sana na waafricaWanatumia toyota then washabikia brazil kweli!!
Kila la kheri japan
Spain japo wameanza kwa kusuasua lakini watafika mbali.Kweli dharau sio Nzuri.😭😭😭
Germany anaenda wapi mkuu?Spain japo wameanza kwa kusuasua lakini watafika mbali.
Mabingwa ni kati ya Spain, France na German
Soma hyo post vizuri.bingwa ni uhoranziSpain japo wameanza kwa kusuasua lakini watafika mbali.
Mabingwa ni kati ya Spain, France na German