UsssshhhuuunguuuuuDakika za jiooonii
No way Sauz outtttttWamebana wameachia
Nilitaka niseme ina maana bilioni 1.8 ya Drake imeliwa.Wamebana wameachia
Mkeka wa kesho ukoje????Kesho ni bandika bandua.
Tunaanza na Brazil saa mbili tu
Yaniiiiiii sijui kapewa pochiMwamuzi hajui wengine tunakaa mbali?