Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Maseko ana papara nyingi sana
NdiyoMudau leo yupo kwenye ubora wake
Usiunyime mwili usingizi...Members kwenye huu uzi wamechapa usingizi
Yaani leo game plan ya canada walijua hapa nikubana watu wawili tuu wa sauz, maseko na mofekengKorea waliwadharay
Sub za Canada zimasaidia kuamsha ari ya timuSouz kama vile wamekata moto
Dakika za jioooniiWakamaria kwa game mnavyoiona, kuna over ya 1.5 kweli hapa?View attachment 3617874