Sanaaa,wamoroco wahuni sn wale wachezaji mkuu.Uholanzi wajipange haswaaVs Morocco?
Ball litapigwa haswaa
Morocco wana game chafu sana wale wajomba.. Netherlands wajipange kwelikweliItakuwa mechi kali.
Kuna mtabiri kasema Uholanzi ndio bingwa this year.
Ngoja tuone itakuwaje
Ushaweka na ulazimaHii wc lazima ije Africa
Ngoja uone game ngumu nyeusiTutakuwepo hapa hapa...