uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,391
- 30,661
- Thread starter
- #7,701
Nyani Ngabu hawa ndugu zako wa canada wabovu haswa
Team GOAT haya mashindano hawana bahati kama wasipobadili namna ya kuchezaTeam Ronaldo wanasema eti wameonewa
View attachment 3617780
Acha tushabikie tu, hamna namna
Ndio ndio Ubuntu kwanzaKwahiyo leo mnashabikia sauz?