Ni kilaza wa kundi huyoSababu wanacheza na Argentina
Hiibgame algeria anapashwa kushinda kivyovyote
Fainali safari hii kuna hati hati de mbuzii team 🤣🤣Ni yeyeeeeView attachment 3617202
Hakika ameichonga vyemaZuri sana
Hapana magoli yanamuachaHata akisare tu anaingia.
Linakuwaje la kufutia machozi na wakati mechi inaendelea?Gooooooal
Jordan wanapata goal la kufuta machozi
Jordan 1 vs Argentina 2
Dk55 Tamari
Si wamefuta machozi kidogoLinakuwaje la kufutia machozi na wakati mechi inaendelea?
Safi tushafuzuGoaaaal Mahrez
Mechi qali kwa leoAlgeria 2 vs Austria 2