Yani congo angekutana na mmoja wapo hapo huu ingekuwa laini sana maana wachovu tu.Hawa England wana sifa sanaPortugal vs Croatia
England vs Congo
Sijui Spain wamepatwa na nini? Au ndo utaona wanaenda tuPortugal na Spain Mungu awatie nguvu. Hawashawishi kama wengi walivyodhani
Kundi la Kina Ronaldo kibonde ni UBEZ😀😀😀Halafu siku wakigongwa na Croatia wataanza kumlaumu Messi utafikiri ndo aliwashikia miguu wamalize nafasi ya pili... Hawa Colombia wanagongwana sana na Argentina kule Amerika kusini.
Just imagine points tatu wamechua kwa hao tu, Uzbekistan vibonde mpaka Mayele amewatungua akitokea bench.Kundi la Kina Ronaldo kibonde ni UBEZ😀😀😀
Kazi na utu mkuu saiz wanatasema hawakua na time ya kucheki game ipasavyoMashabiki wa Ronaldo wanalazimika kuwa offline maana wakiwepo online wanatakiwa wamwite Ronaldo GOAT huku wakisononeka.