adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Jamaa anajua goli gumu sana hilo aiseeYanga watajidai haooo
Jamaa anajua goli gumu sana hilo aiseeYanga watajidai haooo
Anayeelewa Ureno wanacheza mpira gani aniambie
Wanakaza ..sio Ubz hao ColombiaAnayeelewa Ureno wanacheza mpira gani aniambie
Ureno kwa matokeo haya anakutana na nani?Ninahisi kuna match fixing zinaanza Hasa Hii gemu ya ureno na Colombia, kuna upangaji WA matokeo Hasa Kwa timu zinazohofia kukutana na timu ngumu
Ureno kwa matokeo haya anakutana na naniNinahisi kuna match fixing zinaanza Hasa Hii gemu ya ureno na Colombia, kuna upangaji WA matokeo Hasa Kwa timu zinazohofia kukutana na timu ngumu
Halafu mtu anasema kabisa ureno anachukua ubingwa, labda wacheze illuminantsUreno kwa matokeo haya anakutana na nani?
Ureno kwa matokeo haya anakutana na nani?
Pamoja MkuuPortugal vs Croatia
England vs Congo