DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,946
- 11,386
Hawa Colombia wanaupiga aisee sijui ilikuwaje 2022 walishindwa kufuzu world cup.. Hapa Portugal akijitahidi sana ni sare.. Portugal analiwa leo.
Portugal hamna timu pale, na ikitokea ameshinda hii mechi basi kuna uwezekano akakutana na akina Messi, na hapo ndio mwisho waoCongo walikaza Kwa Portugal Halafu unaondoshwa mashindanoni na uzebakistan😂😂😂
MayeleKuna mtu kakosa la wazi kabisa japo offside
Hawa ni laini sn,ila wamewakazia congo makusudi na kwamba hawa waafrika hatufungwi.Au wameahidiwa madola na Iran?Hawa UZB sio wanyonge
Ili iweje hapo MkuuGame ya Portugal na colombia ni ya kupanga matokeo kwa jinsi wanavyocheza
Congo akifungwa Iran anafuzuIli iweje hapo Mkuu
Alikuwa Cr7Mayele
Amesawqzisha huko WissaCongo akifungwa Iran anafuzu
Nimeona hapa,ila wacheze sanaaaAmesawqzisha huko Wissa
Yanga watajidai haooo😄😄😄Tetema
TayariNimeona hapa,ila wacheze sanaaa