South yule anapenya japo kwa kuchechemea sanaDk 90 +5
Czechia 0
Mexico 3
South Korea 0
South Africa 1
Wewe Morocco watakuua unafikiri hao kama weusi wenzio wasiojiweza🤣🤣Hii kamba ya Isidor ya 2 ni umeme 🔥🔥🔥🔥 nipigie mmanga huyo mpaka nifurahi
Bahati ya mtende hiiNdio hivyo wametukeraaa
Vibonde ni vibonde tu haya warudi wakalime nyanya sasaHawa Haiti watata sana sio vibonde hawa
Waafrika watakufa kwa kuendekeza chuki dhidi ya wanaofanikiwa🤣🤣
Waafrika midomo mingi haya shabikieni Senegal sasa🤣Xenophobes wanatusuta haters.
South nao waafrika.Waafrika midomo mingi haya shabikieni Senegal sasa🤣
Ila si mliwatengaSoth nao waafrika.