2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

🚨 If Uruguay win against Spain we could possibly get ARGENTINA vs SPAIN in the R32.

Reminder: Uruguay MUST win to have a chance to qualify.
Naomba sana Mungu hili lisitokee sijui nitakua katika hali gani.
Itakua siku ngumu sana kwangu
1000053981.jpg
 
Kw
Kwamba huyu dogo ni overated!?

Ubongo wako una cancer or itakuwa haujawahi kucheza mpira ni bendera fuata upepo sio Bure 🤣🤣
Yes he's overrated

Sipingi kuwa hana ubora ila kuna namna anakuzwa.

Labda nikuulize kati ya Raphinha na Lamine Yamal ni nani bora?

Mechi nyingi ambazo Raphinha amekosekana ndio mechi ambazo Lamine Yamal alikuwa na poor performance.

Lakini bado eti kwenye Ballon Dor alishika nafasi ya pili mbele ya Raphinha, na Raphinha walimtupa kwenye nafasi ya 7 huko (kama kumbukumbu zangu zipo sahihi)
 
moja ya tofauti kubwa niliyo iona ukilinganisha timu vibonde kwenye kombe la dunia na timu vibonde kwenye afcon ni kwamba kwenye world cup timu vibonde wana uwezo wa kufanya counter attacks hatarishi na zenye kuzaa magoli. kwenye afcon timu vibonde walikuwa wanapaki basi lakini counter attacks zao zilikuwa but. kwa kuongezea zaidi counter attacks zenye mafanikio kwenye afcon zilifanywa na zile timu kubwa; senegal alikuwa kinara wa hili ivory coast pia.
 
🚨 Zlatan Ibrahimovic after South Africa beat South Korea to qualify to the next round

🗣️ “I think this is a message to FIFA, they need to bring more African countries to the World Cup. Nigeria should be here too. Africa’s football is different. They don’t play unnecessary passes. when they get the ball, they attack you immediately. That’s the kind of football we want.

Europe’s football is boring, too many back passes and too many tactics. Morocco and South Africa have qualified to the next round. Morocco is the best Africa team in having possession. South Africa is the best in counter attack.

I think an African team will reach the semifinals this year. I’m happy,they deserve it. Africa should be the best, Mbappe should be playing for Cameroon, Olise should be playing for Nigeria and same for Vini too. I wish the whole of Africa luck in this tournament”. 👏
Ujumbe mzito sana huu
 
moja ya tofauti kubwa niliyo iona ukilinganisha timu vibonde kwenye kombe la dunia na timu vibonde kwenye afcon ni kwamba kwenye world cup timu vibonde wana uwezo wa kufanya counter attacks hatarishi na zenye kuzaa magoli. kwenye afcon timu vibonde walikuwa wanapaki basi lakini counter attacks zao zilikuwa but. kwa kuongezea zaidi counter attacks zenye mafanikio kwenye afcon zilifanywa na zile timu kubwa; senegal alikuwa kinara wa hili ivory coast pia.
Sahihi kabisa.
Lakini ile mechi ya DRC vs Ureno Wakongo walikuwa na uwezo wa kufanya attack na kushinda
 
Back
Top Bottom