Kwani wewe unataka ayafunge nani sasa🤣Huna wema 😀
Kwani huyo Ronaldo kafunga mangapi leo???Own Goal
Au hajaangalia 😀😀Timu Messi...
Lile goli kuna faulo ilitendeka
Wangewapa tu kuwapoza kama curaccao sijuiLile lao moja?? Uliona ni la halali?
Polee
Yaniiii acha kabisa meseji tamu sana hiiPolee
Au SmS ya CRDB ilikupa tulizo la moyo
Unaona wanavomshabikia hata kama hayuko
Baadhi ya miji nchini Wamarekni ina joto kaliHydration break mbona kama ni nyingi sana 😀
Mzee anautoto mwingi sanaBabu kaomba penati imeshindikana
Pessi ni mjukuu wa FIFA ata akifunga goal la mkono linakubaliwaGoli walilofunga leo Uzbekistan mazingira yake ya build up yanafanana na goli la Messi la pili
View attachment 3614280