LimefutwaWamepata goli...
Hamna goal hapo uwoni kuna fauloRefalii anaenda VAR ili awapore goli lao
Duh hurumaWatafuta
Fans wa pessi mnateseka sana mkisikia CR7 goat amescoreHuyu ametumwa na team CR🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
On paperIla aliyetuambia kuwa Ureno wanaweza beba kombe.
Alituonea sana 😢
Huruma gani unayozungumzia weweDuh huruma
Ni Muongo Mzoefu...😃😃😃Ila aliyetuambia kuwa Ureno wanaweza beba kombe.
Alituonea sana 😢
Itaje tu Argentina..😃😃Sasa hawa wakikutana na timu nzuri itakuwaje?
Mkuu hii team iko ASIA sio UlayaTimu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Kwahiyo wamepata nafasi kutokea Asia na siyo Ulaya mashariki?Mkuu hii team iko ASIA sio Ulaya