2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hao wote wanatamani wawe wake wenza wa Georgina yaani wanamuonea sana wivu kuchezea mauno ya Ronaldo kila kona lazima wamtaje. Wanawashwa washwa sana. Kila kona wao hadi nyuzi mia mia wamemuanzishia. CR7 anawaumiza wengi na wala hana mbeleko kama princess wao
Wengi wa timu Pessi niliokutana nao mtaani ni wafupi.

Na tafiti za kisayansi za hivi karibuni zinasema watu wafupi wana roho mbaya kwasababu mioyo yao ipo karibu na matako.
 
Scars najua wewe CR7 damu, ila serious unamchukia sana Messi aisee 😁😁
Lakini kuna maeneo namkubali kwanza sio muongeaji kama mashabiki zake
FB_IMG_1782047399583.jpg
 
Back
Top Bottom