Hata kama, sisi wa dutch tumeshinda
Umewapa Sweden niniBado mapema sana
Nawe waangalia wanaocheza viwanja vya waziEbwana ellanga kafanya jambo hapa hatari sii mchezo
Kama dls 2026Aisee hatari...hii world cup kwa counter attacks ni nomaa...yaani ukipoteza boli wata wanaishia nyavuni kwako
Netherland kakutana na kibonde
Hii game ya Germany na Ivory coast itakua kali sanaSweden kafa vibaya. Pole kwao..
Nasubiri Germany vs Ivory Cast
Spain vs Cape VerdeHivi hii world cup imewahi kutoa 0 - 0
Naona watu wanapasuana sana
Match kali sana hio..Hii game ya Germany na Ivory coast itakua kali sana
KweliSpain vs Cape Verde
Spanish vs capevardeHivi hii world cup imewahi kutoa 0 - 0
Naona watu wanapasuana sana