ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
Sema huku mwishoni wametukosa kosa sisi wa akina azizi kiChuma ya Ujerumani iko inakimbizwa.
Sema huku mwishoni wametukosa kosa sisi wa akina azizi kiChuma ya Ujerumani iko inakimbizwa.
✅Yan diomande to score/assist
Weka kibunda inatoa
Mkuu usimalize maneno...Kazi kuonea watoto tu.
🤣🤣Kipindi cha pili Ivory coast wakithubutu kujidai wanaendelea kutafuta magoli watapigwa kama ngoma.
Kocha itamlazimu kujaza viungo wakabaji na mabeki kulinda hili goli.
Mkuu kama unamkeka kwa game hili chana tu.Kipindi cha pili naona Ivory Coast akipigwa nyingi kwa moja
Akiendelea hivi naingia mimiDuuuh anakosaje hapo
Hamna sina mkeka ila basi lolote litokee tuMkuu kama unamkeka kwa game hili chana tu.
Wana keraa dahAuwiiiiiii ivory coast 2up jamani nilale zangu