Naona, hata hawashangiliiWamepigwa cha Nne
Hatari sanaMmeona huyo boya alivyochomesha goli la nne. Kampa mpira kabisa adui badala ya kufunga
I'm crying for Gyokeres🥺🥺
View attachment 3611998
Hata kama, sisi wa dutch tumeshinda
Umewapa Sweden niniBado mapema sana